HomeCategory

In the Media

Kampuni ya Plasco yamvutia Waziri Aweso

Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, amesema amefurahishwa na Kampuni kuzalisha mabomba ya maji nchini ya Plasco Ltd jinsi ilivyojipanga kuzalisha mabomba ya kisasa ya maji kwa ajili ya miradi ya maji inayaoendelea nchini. Akizungumza juzi baada ya kutembelea kiwanda hicho kilichopo cha Chang’ombe Dar es Salaam na kujionea uzalishaji wa mabomba ya kisasa aina ya...